About the series
Superbook Swahili

Superbook Swahili
1 season, 13 published episodes. Landscape presentation. Ended.
Episode guide

S1 · E1 · 26 min
Baada ya kusafiri kurudi mwanzo wa wakati, Chris na Joy wajifunza kutii na kwamba kuna athari kwa matendo yako

S1 · E2 · 26 min
Chris na Joy wanajifunza zaidi kuhusu Ibrahimu, Sara, Isaka, na Mjumbe wa ajabu wa Bwana

S1 · E3 · 26 min
Chris na Joy wanajifunza zaidi kuhusu Yakobo na Esau na nguvu ya msamaha

S1 · E4 · 26 min
Washauri wa mfalme walipanga kumtupa Danieli kwenye tundu la simba.

S1 · E5 · 26 min
Wakati wa safari yao ya kimiujiza na Mfalme Yesu, Chris anakuja kuelewa nguvu za kufanya miujiza zinatoka kwa Mungu tu

S1 · E6 · 26 min
Kitabu Maarufu kinamrudisha Chris wakati Musa anapokea Amri Kumi. Anajifunza kuwa sheria ziko mahali pa kukulinda, sio kufanya maisha yako yawe ya kufurahisha!

S1 · E7 · 26 min
Baada ya Daudi kukutana na lile jitu Goliathi, Chris hupata ujasiri wa kukumbana na yale aliyoyaona kama nimajitu kwake

S1 · E8 · 26 min
Wanapata kuwa na Musa moja kwa moja akiwaongoza watu kutoka Misri!

S1 · E9 · 26 min
Chris, Joy, Gizmo na Phoebe wanarudi nyuma kiwakati ili kukutana na Yesu, mama ya Yesu Mariamu na kusulubiwa kwa Yesu

S1 · E10 · 26 min
Chris anajifunza kutoka kwa Yesu kwamba hata ingawa Yesu ni maarufu, alikuwa mnyenyekevu na aliwahudumia wanafunzi hao kumi na wawili

S1 · E11 · 26 min
Baada ya Amagedoni hakutakuwapo na kifo tena au huzuni. Yohana Mfunuo aandika juu ya jinsi alivyoona mbingu mpya na dunia mpya

S1 · E12 · 26 min
Mwanga kutoka mbinguni unampiga Paulo njiani kuelekea Dameski

S1 · E13 · 26 min
Kitabu Maarufu huwapeleka mashujaa wetu kwenye safari ya kugundua mtoto Yesu, Betlehemu, na maana ya kweli ya Krismasi!